masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

    Acheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii, Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
  2. UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA...
  3. Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....." Je Hawa ni wa kweli?
  4. Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
  5. K

    Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  6. A

    NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY, NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL NA PRE- FORM FIVE. (0625012562)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya home Teaching pia. Tunapatikana TEGETA, Dar Es Salaam. Mawasiliano: 0782044028(Whatsapp) 0625012562. KARIBUNI SANA
  7. A

    NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL, NA PRE FORM V (0625012562; 0782044028)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
  8. A

    Nafundisha masomo ya Physics, Chemistry na Mathematics kwa A- level, na pre- form v

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
  9. Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
  10. Diploma ya Accountancy kwa masomo hayo

    Kwa mwanafunz aliyepata Mathematics F, Geography E na Economics E je anaweza kusoma Diploma ya Accountancy ila mathematics o level alikuwa na C ya mathematics
  11. Wadau wenye uzoefu na maduka na hizi stores za kawaida hivi hawaitaji mtu anaeweza kua anafanya stock taking

    Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu. Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
  12. Kazi ya kutafuta masoko

    Habari ( Salesperson Needed ) NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme Eneo : Kibamba Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
  13. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  14. Baada ya masomo magumu na mazito,sasa tupate burudani kidogo

    Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza...
  15. Wakili LEVINO: Mbowe is Politically uncircumcised. Kwenye masomo yote ya IDU yeye peke yake kapata division zero

    === MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi. Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu...
  16. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  17. Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  18. Wakuu hii imekaaje darasa la kwanza masomo nane?

    Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote. Math English Kiswahili Drawing Reading Sport &art Heath...
  19. Nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni Chuo cha Reli (TIRTEC)

    Tangazo la nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni chuo cha reli (TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY -TIRTEC). Nimeambatanisha tangazo husika.
  20. A

    Mradi wa elimu mbadala kwa wanafunzi waliokatisha masomo SEQUIP - AEP haujafanya malipo kwa muda wa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) inatekeleza mradi wa kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kupata elimu kwa njia mbadala (SEQUIP) chini ya programu ya Altenative Education Pathway (AEP). Mradi huu unafadhiliwa na Benki Kuu ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…