masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  2. s8plus

    Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
  3. Mr Suprize

    SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
  4. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  5. A

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani. Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School na...
  6. Genius Man

    SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  7. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  8. BARD AI

    Prof. Mkenda: Wazazi wana haki ya kuzuia Watoto kwenda Shule nyakati za Mvua kubwa

    Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuona kama kuna umuhimu wakuchukua hatua zaidi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili...
  9. S

    Ni lini serikali itaanzisha masomo ya uchawi mashuleni?

    Afríka ínasifika sana kwa uchawi lkn hatujaitumia vema fursa hii. Nadhani sababu kubwa ni kwamba wazungu walituvuruga sana walipokuja Afrika kama wakoloni. Kuna haja ya kuifufua taaluma yetu asilia ya uchawi kwa kuanzisha Somo la uchawi (witchcraft knowledge) mashuleni. Halafu A level kuwe na...
  10. Yesu Anakuja

    Masomo ya kuukulia wokovu (download hapa)

    nimewawekea wale wanaohitaji masomo ya kufundisha waongofu wapya, au mwongofu mpya anayependa kuujua wokovu. download to hapa.
  11. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  12. Jidu La Mabambasi

    Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini. Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile. Sera hizi...
  13. ngilo one

    Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  14. Trainee

    Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  15. G

    Aibu tupu!! Vyuo vya Tanzania mtu anasoma masomo ya biashara miaka mitatu na kulipa almost milioni 5 lakini hajui hata kufungua biashara

    Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu...
  16. Trainee

    Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea! Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
  17. Shining Light

    Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  18. Jamii Opportunities

    Nafasi za Masomo Jamhuri ya watu wa Korea

  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

    Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu. Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili...
  20. Eli Cohen

    Private high school ipi ni bora Mwanza kwa masomo ya sayansi?

    Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
Back
Top Bottom