masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Masomo yangu chuoni

    Habari ndugu zangu, Naitwa Paschal, nipo Dar es Salaam, Kigamboni. Nimekumbana na changamoto ya kimatokeo, kwani inatakiwa niingie mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Hata hivyo, naona kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuendelea kutokana na somo moja la semester ya...
  2. K

    Msaada wa ufadhili wa masomo chuoni wa kumalizia mwaka mmoja uliobaki

    Habari wana Jamiiforum, Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu. Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo au kama kuna hospital yoyote inaweza kunisaidia tuingie nao mkataba...
  3. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Habari wakuu!! Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma. Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao. Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
  4. Tundazuri

    Dondoo za masomo ya PhD UDSM

    Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu. Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM. Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu. Usumbufu wenyewe ni kwamba...
  5. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu, awasihi walimu kufuatilia mienendo ya watoto

    Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
  6. Brojust

    Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

    Salaam wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu. Ahsante: NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
  7. Tlaatlaah

    Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  8. J

    Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Gharama za masomo kwa vyuo vya afya apa Tanzania zipoje kwa mwaka 2024/2025
  9. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Maabara Tatu za Masomo ya Sayansi Kwenye Kila Sekondari ya Kata Unaendelea Vizuri: Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini. Ujenzi wa Sekondari mpya 11 unaendelea kwenye baadhi ya Kata. Ujenzi wa maabara tatu za masomo ya...
  10. Magical power

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
  11. E

    Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  12. B

    Nimewagomea Wanafamilia tusichangie Harusi ya Kaka bali tuchangie mdogo wetu masomo na Nyumba tumalizie. Wamefura nimelikoroga

    Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
  13. G

    Bill Gates na Mark Zuckbereg walikuwa matajiri walipoamua kuacha masomo, kijana usifuate kila unachoambiwa na motivational speakers, Utaangukia pua.

    Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k. Bill Gates - Microsoft Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research. Sio hivyo tu, hawa...
  14. RWAA

    Nafasi za Masomo - Ualimu (mkoani Rukwa)

    NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2024/2024 KATIKA CHUO CHA UALIMU RUKWA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA BIASHARA RUKWA. Mnakaribishwa kujiunga na vyuo vyetu vilivyopo mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini. Kwa maelekezo zaidi unaweza piga: 0754426882
  15. Morning_star

    Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli...
  16. Y

    Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  17. Swahili AI

    Nanunua vitabu. Visiwe vya masomo ya shule

    Kama bango lisemavyo, vitabu vyovyote cha mwaka wowote, mwandishi yoyote vya ambavyo unavyo husomi au huvihitaji basi mimi navihitaji hivyo. Popote vilipo duniani utaratibu wa kuvipata tutaratibu Karibu PM tuyajenge
  18. R

    Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

    Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level. Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment. Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au...
  19. GENTAMYCINE

    Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  20. F

    Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
Back
Top Bottom