- Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano.
- Pambano limeishaaaaaa!
- Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde 26
- Round ya MWISHO.
- Jake karisha punch mbili tatu mwishoni, round ya 7 imeisha. Wanafuta...