maswa mashariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za misiba jimbo la Maswa Mashariki hazipaswi kuwa mtaji wa kisiasa

    Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji. Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

    Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania KILICHOMPONZA STANSLAUS NYONGO JIMBO LA MASWA MASHARIKI NI HIKI HAPA.

    Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela. Baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia kutorudi kwa Nyongo ni: Mapambano ya kisiasa ya ndani ya chama (CCM) –...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Haroon Nyongo amechukua na kurejesha fomu kuwania Ubunge Jimbo la Maswa Mashariki

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Haroon Nyongo, amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge kwa mara nyingine katika Jimbo la Maswa Mashariki, mkoani Simiyu. Hatua hiyo inaashiria dhamira ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyongo,Dkt Lugomela kuchimbika ubunge jimbo la Maswa Mashariki

    Kwa sasa, hakuna taarifa rasmi kuhusu Dkt. George Lugomela ambaye ni Mkurugenzi wa Raslimali za Maji,Wizara ya Maji kutangaza nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao. Lakini ni mtu ambaye amekuwa midomoni mwa wananchi wa wikaya ya Maswa hasa wanachama wa CCM na wananchi wa jimbo la Maswa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…