Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa
Weka kauli hapa kwa ku attach voice note au video clip.

Hatuwezi kumhukumu kwa maeno yako, ni kinyume cha natural justice
 
Ni vizuri kuelewa kwamba,
elections are very expensive process in nature, na ndio maana kuna gharama za uchaguzi kwa mujibu wa sheria kwa madiwani, wabunge na wagombea urais, sio Tanzania tu bali ulimwenguni kote kwenye nchi za demokrasia ya vyama vingi vya siasa 🐒
 
Takukuru wako wapi?
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Ni vizuri kuelewa kwamba,
elections are very expensive process in nature, na ndio maana kuna gharama za uchaguzi kwa mujibu wa sheria kwa madiwani, wabunge na wagombea urais, sio Tanzania tu bali ulimwenguni kote kwenye nchi za demokrasia ya vyama vingi vya siasa 🐒
Screenshot_20260627-114209~2.png
 
Weka kauli hapa kwa ku attach voice note au video clip.

Hatuwezi kumhukumu kwa maeno yako, ni kinyume cha natural justice
sisi tutamuhukumu hivyo hivyo bila kujali hiyo natural justice
hawa wafuatao walivyohukumiwa mbona hatukuona hiyo natura justice
1. polepole
2. mzee kibao
3. ben sanane
4. nyangali mdude
 
Weka kaivideo hako tukaone......

Unadhani hivyo vyeo wanapita tu ? Kuna mauchawi na makafara mengi plus kuhonga hela
Uchawi huambatana na ujinga. Hauna madhara yoyote kwenye uchaguzi.
Kinachotumika zaidi na kutoa uamuzi ni pesa.
Wakati wa uchaguzi ni wa mavuno kwa wajumbe.
Pesa hutolewa kama kuku wanavyorushiwa mahindi, wakiona nyingi upande fulani wanakimbilia huko, zikipungua wanaenda kuokota upande mwingine.
Ili kupata viongozi na wawakilishi wa uhakika, maendeleo endelevu lazima mifumo ya uchaguzi irekebishwe. Ununuzi wa kura udhibitiwe.
 
Back
Top Bottom