Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

Mimi huwa nina amini TAKUKURU huwa wanabanana na vidagaa huku nafsi zao zinawasuta.Wafanye nini na mapapa hawayawezi?Ni ilimradi waonekane nao wapo kazini tu.
huo ndo ukweli. Kwamaana nyingine tena, Rushwa ipo kwa wasiokuwa na Hela. Halafu kingine huwa najiuliza. Hiv hawa TAKUKURU wenyewe sio binadamu kama sisi?. Hawapokei Rushwa? Mbona sijawahi sikia Afisa wa TAKUKURU atuhumiwa kwa Rushwa? Kwanini kisiundwe Chombo cha kuisimamia na Kuichunguza TAKUKURU? kuna jambo limesahaulika hapo.Yote kwa Yote, Tuikatae Rushwa, Rushwa ni adui wa Haki..Mfano mzuri kwa Shekhe Mwaipopo.
 
Mambo ya siasa hayo
Kutaka uongozi 😄
Kuna mgombea asiyetoa
Hela kweli????

Ova
 
Back
Top Bottom