Habari za mapumziko wana jamvi
Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
MASWALI:
1. Hii picha ilipigwa wapi?
2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani?
3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi?
4. Hii picha ni ya tukio gani?
Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao?
Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha.
Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma...
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!
Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force?
Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande...
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile
Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile
Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe...
"Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?"
"Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu sana. Kwanini mnauliza maswali ya zamani, sijui kama wewe ni mtaalamu au lah, unafikiriaje magoli...
Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo.
Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
Nimeona maajabu Mkoa wa Geita.
Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini?
Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
Unafanya nini.....?
Unataka kuwa nani...?
Una elimu gani....?
Unaishi vipi....?
Unaelekea wapi....?
Unaelekea na nani...?
Umejiandaa kutokufika...?
Umejiandaa kupokelewa ukifika...?
Unajua unachotaka...?
Unajua mahitaji yako...?
Unajitambua...?
Una marafiki wa aina gani...?
Wanamchango gani...
Hope mmeamka salama. Naomba anayejua anisaidie na mimi kujua÷
1. Kwanini mtu akifa anaoshwa?
Anazikwa ardhini na kufukiwa sasa huo usafi anaofanyiwa unamsaidia nini as long as atachanganyikana na mavumbi soon?
2. Mtu akishazikwa baada ya miezi au miaka kadhaa ndugu huanza kwenda kufagia kaburi...
Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano.
Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo...
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati.
Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...