maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  2. JanguKamaJangu

    Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  3. kyagata

    Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

    Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG. Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo...
  4. Internet-Money

    Wamasai walivyojibu maswali haya ya Mzungu

    Maswali mazito yaliulizwa na Mzungu kwa Wamasai. Cheki video utajua Wamasai wanaakili kuliko Mzungu Ni Mara nyingi tuli mjini tunaji chukulia ni wajanja kupita maelezo, Ila yawezekana Wamasai ni wajanja kutupita sisi, ndo Mana wanaishi simple life. Hautaweza kumuona Masai ameuza ngo'mbe zake...
  5. J

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  6. emmarki

    Nimekuwekea baadhi ya maswali ya written interview kwa mliomba utendaji wa kijiji/mtaa

    Aisee kama hupati muda wa kureview kutoboa written ya utumishi na halmashauri itakuwa ndoto. maswali magumu alafu unapewa dk 45, nmeyasoma nimeishia kuopaa njaa. Kwa wale fresher inawawia urahisi, tofauti na mjuba ulikuwa na mishe zako hata kinachoendelea nchini km vile hayakuhusu. Kwenye...
  7. MD Maziku

    Msaada wenye past paper ya Operation officer TAA

    Msaada wenye past paper ya Operations Officer TAA
  8. S

    Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi. Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno 1. Unataka kufanyia nini? Yaani...
  9. Marcellojr

    Customs questions: Wandugu naombeni mwenye kujua majibu ya haya maswali anipe majibu hapa jukwaani

    1. State the conditions that must be satisfied for temporary import to be exempt from import duty 2. Explain the necessary controls customs needs to put in place when administering export process 3. Outline conditions under section 99 eaccma 2004 dealing with loading and transfer goods...
  10. K

    Tuachane na maswali ya nyongeza Bungeni

    Katika kila kikao cha Bunge kuna muda wa maswali yanayotakiwa kujibiwa na Mawaziri au Manaibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali na baadaye kama Mhe. Mbunge hakuridhika anaruhusiwa kuuliza swali au maswali ya nyongeza. Binafsi majibu ya maswali ya nyongeza hayani tija na wajibu maswali aidha...
  11. share

    Royal Tour yaibua maswali mengi kuliko majibu

    Ni kwamba, 1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi. 2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI? 3. Huyu Peter ameshafanya Royal...
  12. Waibi fredy

    Baadhi ya maswali TPA

    Pepa la leo la TPA Ports operation officer: 1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service 2. Meanig of i) Quay transfer ii) storage operation iii) ship operation iv) delivery and receipt operation 3. Documents required in: i) general cargo clearing...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

    Habari! Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa. Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au...
  14. K

    Maswali ya nyongeza ya waheshimiwa wabunge naona bora yasiwepo

    Bungeni kuna maswali ya msingi yanayoulizwa na Waheshimiwa Wabunge na majibu ya maswali haya yanajibiwa kwa maandishi yaliyofanyiwa utafiti lakini kwa maswali ya nyongeza mjibu maswali hana majibu sahihi na hii inapelekea kutoa majibu ambayo hayaridhishi. Mimi nina ushauri kuwa majibu ya...
  15. Kiokotee

    Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

    Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo; 1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni...
  16. Anganjwiri92

    Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  17. Roy Logan

    January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  18. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Hamjambo! Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi? Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni...
  19. M

    Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  20. Meneja Wa Makampuni

    CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

    Mimi maswali yangu ni haya;~ Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje 1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo? 2. Kujenga madaraja yote haya? 3. Kujenga Fly over hizi? 4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani? 5. Kuhamishia serikali Dodoma...
Back
Top Bottom