Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
Habari wadau wa JF
Poleni na majukumu
Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako...
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.
Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.
Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.
Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua.
Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya.
Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho.
My take. Hii inaweza kuwa ni...
Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
Arusha .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake.
Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
Habari wadau..!
Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili??
Binafsi sipendi maswali haya
1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani?
Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.🙄🙄🙄
nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe...
Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.
Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.
1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu...
1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu...
Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais.
Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni maswali na majibu yote baada ya mahojiano. Kama mama anaongea kwa kumaanisha ni lazima ajue.
1...
Habari!
Watu wa zama hizi, wa mjini na vijijini wengi hawana aibu kumkopa mtu. Uvumilivu katika matatizo yanayohitaji pesa haupo.
Mtu ukimsimulia mafanikio yako au mipango yako tu umemfungulia mlango wa kukukopa.
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanaokopeshana kienyeji(kindugu na kirafiki)...
ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI
Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo kuja na toka chanjo iingie nchini, kumezuka mjadala mkubwa sana kwa Watanzania, kila mtu akisema lake...
Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi.
Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe.
1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa).
1/ Which grows faster?
A. Hair
B. Finger
C. Nails
2/ I have a dream
A. Nelson Mandela
B. Barrack Obama
C. Martin Luther King Jr.
3/ In which...
Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu.
Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
Amani iwe nanyi Wakuu,
Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.