Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii.
Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa...
Nov 08, 2023 03:33 UTC
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana wajibu wa kusimamisha dhulma na hujuma hizo za kikatili za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda...
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa.
Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
"when you are in rome, do what romans do"
Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa.
Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza.
Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali...
Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa.
Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina.
Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945.
Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani.
Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu...
Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani.
Taifa hili lina tatizo gani...
VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu.
Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
Jerusalemu Katika Siku za Mwisho
“Zekaria 12:2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.
3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea...
Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu.
Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
Barua hii nimeitoa Ukurasa rasmi wa ofisini ya Serikali kuu mtandao wa X na nitaiweka kama ilivyo na nitaiweka kwa tafsiri ya kiswahili kwa msaada wa Google Translator.
Naomba radhi kwa namna yoyote ya ukoseaji wa tafsiri hiyo ijapo itakuwa msaada kwa Waswahili.
Vita vya jumla vimepigiwa...
Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
Ndugu zangu tunapozungumzia Mataifa makubwa tunawalenga Marekani, Ujerumani, Wiingereza, Japan, China, Korea nakadhalika.
Haya ni mataifa makubwa yalifanikiwa tangu zamani na wakati mwingine mataifa mengine yanajiuliza ni mbinu gani wanazotumia kufanikiwa.
Jambo la kushangaza ni kuwa mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.