mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Hotuba za Viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika katika mkutano wa kila mwaka wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa

    Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini. Amesema sababu ya hali hiyo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna Taifa au Kabila lenye Watu Bora kuzidi jingine, mataifa au Makabila yote ni Sawa Ila hayalingani

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wapo wenzetu wenye mitazamo Duni linapokuja suala la ukabila u utaifa. Wapo wanaojiona ni Bora kuliko wengine lakini ukifuatilia Kwa umaskini ubora wanaojivunia ndio udhaifu wao. Na wapo ambao wanaojiona Duni lakini ukifuatilia uduni wao ndio ubora wao. Kwa...
  3. T

    Viongozi katika mataifa yaliyoendelea hupeleka matukio mahali wanakotokea huku wakiwa viongozi wa kitaifa?

    Juzijuzi rais kaja na kizimkazi kabla hapajapoa waziri mkuu kaja na rwangwa marathon tukiwa hatujui mpango ataibuka na nini kule Buhigwe, kabla hatujasahau yale ya tulia kula Mbeya. Nimesikia aibu sana leo baada ya waziri mkuu kushindwa kutoa hotuba inayoashiria kuwa yeye ni kiongozi wa...
  4. MK254

    Mamia ya wanariadha wakana uraia wao Urusi na kuomba uraia wa mataifa mengine

    Jameni Putin anaachiwa liinchi, matajiri wanahama, wanariadha wanaukana uraia na kukimbilia kwingine, vijana wameitoroka nchi, maskini ndio wanaachwa kuendelea kupambana na hali...ila kila anayepata upenyo anajiondokea. PHOTO: RIA NOVOSTI Russia’s Ministry of Sport says that over 100 Russian...
  5. T

    Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  6. benzemah

    Wasomi wapongeza Rais Samia anavyochungulia fursa kwa Mataifa tajiri

    Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa na kama Tanzania ikijiunga itakuwa na uchumi imara. Mkutano huo wa siku mbili ulihitimishwa jana...
  7. MK254

    Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  8. I

    Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  9. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  10. BARD AI

    Sikiliza Wimbo wa Kiswahili (Africa Anthem) unaounganisha Mataifa yote ya Afrika

    Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
  11. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  12. B

    Mataifa yenye nguvu ya silaha za nyuklia duniani

    Yafuatayo ni mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani. 1. Urusi Pamoja na kupunguza hifadhi zake za nyuklia tangu kumalizika kwa vita baridi (Machi 12, 1947 – Desemba 3, 1989), Urusi na Marekani zinamiliki asilimia 90% ya silaha zote za nyuklia duniani. Lakini Urusi ni...
  13. BARD AI

    Umoja wa Mataifa waitahadharisha Tunisia kuhusu Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied. Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
  14. I

    Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

    Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani: 1. USA 2. Israel 3. Russia 4. China 5. India https://healthygeorge.com/trending/a-list-of-the-worlds-strongest-military-powers-strongestmilitaries-misha-gemini-3/38
  15. Venus Star

    KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  16. BARD AI

    Mtanzania Ghaamid Abdulbasat, ateuliwa na Umoja wa Mataifa katika Kamati ya Ushauri IAC

    Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
  17. HERY HERNHO

    Urusi, mataifa ya Magharibi uso kwa uso Baraza la Usalama

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Akiongoza kikao kilichokusudiwa kuwa mdahalo juu ya nafasi ya Baraza Kuu la Usalama la...
  18. Bunchari

    Tusiwe watu wa kudandia vitu au hatua zinazochukuliwa na kiongozi wa mataifa jirani

    Habari wakuu Rais Museveni kaanzisha harakati za kuzuia vitendo vya ushoga nchini mwake na sisi wa kwetu kaiga ili aendane na wakati asionekane vibaya Sasa imekuwa kero. N:B Na ninyi muwe mnaanzisha agenda zenu na kuzisimamia sio mnaiga mahali mnaanza kuleta usumbufu humu, kweli nimeamini...
  19. Dr Matola PhD

    Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  20. Gadafhi

    Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
Back
Top Bottom