matangazo

  1. TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali Baada ya...
  2. Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  3. Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
  4. Nahitaji posters kwajili ya matangazo ya biashara

    Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
  5. MSAADA WANA BLOGGER KUWEKA MATANGAZO KATIKATI YA POST

    Msaada Wanablogger Wenzangu kwa Anayefahamu Jinsi ya kuseti Matangazo ya Adsense Katikati Ya Post
  6. Hakuna kitu kinanikwaza Kama matangazo kwenye kwenye post

    Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza. Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu. Naumia Sana...
  7. Brigedia Jenerali Mabena, wilayani hakuna matangazo ya mafunzo ya JKT uliyoyatangaza

    Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania. Ukawataka watanzania wazalendo wajitokeze na kujiunga na mafunzo hayo. Vijana wenye sifa zitakiwazo...
  8. Nigeria yapiga marufuku wanamitindo na sauti za kigeni

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi. Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa watangazaji, matangazo na bidhaa zote za masoko na mawasiliano nchini humo zinatakiwa kuwatumia...
  9. Pakistan yapiga marufuku matangazo ya mikutano ya Imran Khan

    Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya habari vya utangazaji ya Pakistan, PEMRA, imezipiga marufuku televisheni nchini humo kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa waziri mkuu wa zamani Imran Khan aliopanga kuufanya hii leo. Marufuku hiyo ilitolewa jana jioni, ikiwa ni siku ambayo Khan...
  10. M

    TiGO mnatukwaza wateja kuweka matangazo tunapopiga simu

    Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka? Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
  11. L

    Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  12. Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

    Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi. Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda...
  13. Utitiri wa michezo ya kamari maredioni isipodhibitiwa mapema itatuletea kizazi cha wavivu huko mbeleni

    Ukiachana na ile michezo ya ku bet kwa wahindi na kampuni nyingine kwa njia za mitandao ambayo kwa sasa jamii kubwa ni kama imeelewa na kuondoa ile hali ya kuwa na matumaini makubwa ya kushinda na hivyo kucheza kwa kiasi na tahadhari kubwa na hii imekuja baada ya wengi kupigwa pesa bila kupata...
  14. Advertising access restricted ndo ujumbe unaokuja ninapohitaji kubost matangazo katika page yangu ya Facebook

    Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu. "Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
  15. Tushirikiane kubandua matangazo ya waganga barabarani

    Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
  16. Kipindi cha Bunge kina matangazo mengi yanayopoteza muda

    Bungeni kumekuwa na matangazo mengi na inasababisha muda wa maswali na majibu au kujibu hoja kuwa mdogo. Unaweza ukadhani ni kipindi cha michezo iliyojaa matangazo kila baada ya dk 3. Mfano utambulisho wa wageni usio na tija, wageni kama timu ya mpira kufanya vizuri kupongezwa ni sawa ila...
  17. Facebook na Instagram kufichua namna matangazo yanavyowalenga watumiaji

    Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni. Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
  18. Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  19. Matangazo ya Kamari kwenye radio zetu: Waziri mwenye dhamana chukua hatua

    Habari za muda wadau. Mimi ni mdau na msikilizaji wa hizi radio za masafa marefu fm radios Nasikiliza baadhi ya vipindi kwani vipindi vyao vingi havina maudhui niyapendayo ya habari. Utafiti wangu nimegundua kwamba katika vipindi hivi vichache ninavyosikiliza matangazo ya KAMARI NI MENGI SANA...
  20. Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…