matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali imeshindwa kuwadhibiti matapeli wa minada?

    Juzi nimepita Mbezi ya Kimara kuna mmama kapigwa sh elfu 60 live live na wale matapeli wanaouza nguo na bidhaa kwa mnada. Hao ni matapeli, na wale wanao kuwa wana bid huwa wenzao na mtu akitoa pesa anapewa bidhaa feki. Serikali/ Ulinzi shirikishi waanze...
  2. TAKUKURU yawaonya matapeli wanaojifanya maofisa wake

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera inawachunguza matapeli wanaojifanya ni maofisa wa taasisi hiyo kwa kuwapigia simu za vitisho wananchi kisha kuwaomba fedha. Hayo yamebainishwa na mkuu wa Takukuru mkoa, John Joseph alipotoa taarifa ya utendaji ya miezi mitatu...
  3. Hivi TTCL na TCRA wanashindwa kuzuia matapeli kwa njia ya simu?

    Kiukweli inasikitisha sana Kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ilielekeza lines zote za simu zisajiliwe Kwa kutumia vitambulisho vya NIDA ilu ktambua watumiaji na kuepusha uhalufu lakini leo hii lines za simu hasa hasa za TTCL zinatumika sana kutapeli watu. Kumekuwa na ongezeko la...
  4. NIDA ni mzigo tu matapeli wanajisajili vipi bila alama za vidole

    Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line? Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba...
  5. Matapeli kwenye mitandao ya simu

    Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema. 0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
  6. Una-deal vipi na matapeli mtandaoni?

    Aisee Hawa watu wakuitwa matapeli wanakera sana. Wakipiga simu ukiwastukia wanaporomosha matusi yani hadi kwa wazazi wako wao wanatukana tu. Hivi haya makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutulinda sisi wateja wao waaminifu dhidi ya hawa matapeli?
  7. Mbinu mpya wanayotumia matapeli wanaotuma meseji

    Habarini za asubuhi, Wale jamaa zetu wa "tuma kwenye namba hii" kisha wakaja na kauli mbiu yao ya "Mimi mwalimu mtoto wako ameanguka ghafla tunaomba utume pesa kidogo ya kusaidia matibabu ya haraka huku ukijiandaa kuja" wamekuja na kauli nyingine isemayo: " Habari yako? Mimi mwenye nyumba wako...
  8. Matapeli wanaotumia kivuli cha maneno ya Mungu

    Habarini wadau. Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh. Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
  9. TCRA, matapeli wa kupiga simu na kutuma meseji wataisha lini?

    TCRA hivi awa matapeli kutumia simu mbona bado wapo wengí na sasa wanazidi kuongezeka si line tunasajiri na alama za vidole iweje waendelee kuwepo. Leo naona tuanze kuolozesha humu namba za matapeli wanautuma msg zile za waganga na mtoto wako kaumia tupo hospital na wale wanajifanya huduma kwa...
  10. K

    Matapeli kutumia utambulisho wa vyombo vya dola kunathibitisha udhaifu wa vyombo au mazoea yamezidi?

    Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli. Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
  11. Hii ndiyo sababu yangu Kuu kwanini nimerudi Kuiabudu Mizimu na Kuwachoka Wahubiri wengi wa Kiroho na Matapeli waliopo sasa Tanzania

    Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
  12. B

    Matapeli wanapoingia Jeshini kufanya uhalifu, wakapigwa doso (drill) raia msihemke

    Kijana aliyekamata Dar es Salaam Ni jirani yetu. Taarifa za ndugu zinasema alikamatwa kwa kujifanya afisa usalama Takukuru. Kwa stori walizopewa na jamaa zake baada ya video kuonekana mitandaoni ni kuwa. Jana alipata abiria ampelekea uhamiaji kupata huduma ya passport. Akiwa njia kama kawaida...
  13. Jinsi ya kuwagundua Matapeli na fursa zao zisizo sahihi kwako

    Zama tunazoishi sasa ni zama ngumu mno ambapo mtu usipokuwa na msingi imara utaishia kuanguka vibaya. Fursa ni nyingi mno, lakini nyingi siyo fursa za kweli. Fursa hizo zinahamasisha na kutamanisha kwa sababu unaona kabisa wengine wakinufaika nazo. Kumbe hiyo ni sehemu ya mtego wa kukunasa ili...
  14. Matapeli wa TV Zanzibar

    0686056829, 0713645955 News alert. Hizo namba juu nimeziweka ili TCRA iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe ni matapeli. Kwenye Instagram anajiita MAIMUNA...
  15. TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  16. Tegeta Wazo kuna madalali matapeli tujihadhari, nilinusurika

    ...
  17. Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

    Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu. Lakini leo hii tumepata picha kamili...
  18. Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals. Karibuni
  19. B

    ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

    Nimekuwa nikipokea malalamiko sana kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wakisema kuna watu wamekuwa wakiomba Funds kwa ajili ya Taasisi zao kwa kutumia jina langu la Kiduku Lilo. Kwanza watu wangu walikuwa wanashangaa kuwa nini kimetokea mpaka naomba nichangiwe Usd 50,000 eti za kusaidia watu...
  20. J

    DC Ole Sabaya atoa onyo kwa taasisi ya United Mission, inayotapeli Wananchi Wilayani Hai

    Mkuu wa wilaya ya Hau mh Ole sabaya amewaonya matapeli wote waliojiingiza wilayani humo kwa lengo la kuwalaghai na kuwadhulumu wananchi wanyonge Ole sabaya amesema hayo wakati aliposikiliza malalamiko ya wanakijiji wa Machame waliotapeliwa na taasisi moja ya kijamii ambayo haijasajiliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…