Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuandika historia katika huduma za uzazi pandikizi (IVF), huku madaktari wake wakieleza kuwa changamoto kubwa wanazokutana nazo ni ubora hafifu wa mbegu za wanaume pamoja na wanawake wengi kufika hospitalini wakiwa wamechelewa umri wa uzazi.
Imeelezwa...
Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna...
Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1.
Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi?
Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na
motility, kujipa nafasi...
Habari wadau,
Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto anatafutwa bila mafanikio. Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa hizi changamoto.
Kama mwanamke hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.