thirteen06
Senior Member
- May 17, 2021
- 137
- 120
Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna mitego aliwekewa au vifungo kwa Imani za kishirikina.
Una ushuhuda gani kuhusu kupata suluhu ya uzazi kutoka kwa waganga wa kienyeji kwa mwanamke ambaye amekaa zaidi ya Miaka 4 bila kupata uzao hata mmoja?