Una ushuhuda gani kuhusu suluhu la matatizo ya uzazi kupitia waganga wakiengeji

Kuna Dada kahangaika Sana Kama miaka 15 Ila naona sasaAna tumbo kubwa Sana .

Nilichokiona kwake amtoboa kwa kutibiwa hosptalini .

Ila hawa Waganga na manabii watakupiga pesa mpaka uchanganikiwe .
 
Yaani mtu unataka mtoto unaenda kwa mganga. Watu mna mchezo na uzao wenu
 
Kuna Dada kahangaika Sana Kama miaka 15 Ila naona sasaAna tumbo kubwa Sana .

Nilichokiona kwake amtoboa kwa kutibiwa hosptalini .

Ila hawa Waganga na manabii watakupiga pesa mpaka uchanganikiwe .
kabisa,, hii nayo ni changamoto mkuu
 
Fibroids jamani fibroids mwenye Dawa za hizi vimbe ajitokeze jamani operations zitaniua😢😢😢
 
Back
Top Bottom