Una ushuhuda gani kuhusu suluhu la matatizo ya uzazi kupitia waganga wakiengeji

Una ushuhuda gani kuhusu suluhu la matatizo ya uzazi kupitia waganga wakiengeji

Huyo muhusika aje kwangu, nimpeleke kwa mtaalamu, atakua anazaa mapacha pia akitaka...
Serious!!
1754916461173.png

Mbegu za muhusika baada ya kupewa majaribio na Dr. cocastic 😀😀
 
Ni rafiki yangu wa karibu,
Walishaenda kwenye vipimo, na ikanekana hawana shida yoyote, rhesus factor Haina shida.
Mungu anaponyo mwili na roho unless kama unaenda kwa wale wanaopuliza gas lakini nina uhakika na ninachosema asilimia zaidi ya mia
 
Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna mitego aliwekewa au vifungo kwa Imani za kishirikina.

Una ushuhuda gani kuhusu kupata suluhu ya uzazi kutoka kwa waganga wa kienyeji kwa mwanamke ambaye amekaa zaidi ya Miaka 4 bila kupata uzao hata mmoja?
Nenda Hospital mkuu

Ukipata majibu ya kisayansi kwamba haiwezekani hapo sasa nenda kwa waganga na mitume ukatapeliwe
 
Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna mitego aliwekewa au vifungo kwa Imani za kishirikina.

Una ushuhuda gani kuhusu kupata suluhu ya uzazi kutoka kwa waganga wa kienyeji kwa mwanamke ambaye amekaa zaidi ya Miaka 4 bila kupata uzao hata mmoja?
kwani kunashida gani ukisema direct kuwa unataka kwenda kwa mganga wa kienyeji akutibie uzazi hivyo tukushauri?
 
Kuzaa sio lazima mazee, kwanza hakunaga faida ya kuwa na watoto, we ponda kama sio kubonda mijiraha.. 🤣
 
Back
Top Bottom