matatizo ya uzazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ubora hafifu wa mbegu za kiume linalopelekea matatizo ya uzazi laelezwa kuongezeka Muhimbili kwa miaka ya hivi karibuni

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuandika historia katika huduma za uzazi pandikizi (IVF), huku madaktari wake wakieleza kuwa changamoto kubwa wanazokutana nazo ni ubora hafifu wa mbegu za wanaume pamoja na wanawake wengi kufika hospitalini wakiwa wamechelewa umri wa uzazi. Imeelezwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuongezeka kwa matatizo ya uzazi yanayosababishwa na P2 na abortion, ni bora kuoa kwanza au kupata mtoto kwanza?

    Ukimzalisha kabla ya ndoa kuna uwezekano wa kuongeza tatizo la single mothers Ukimuoa kama ana matatizo ya uzazi kuna uwezekano ukazeeka bila watoto
  3. JamiiForums Tanzania Una ushuhuda gani kuhusu suluhu la matatizo ya uzazi kupitia waganga wakiengeji

    Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: unasumbuliwa na matatizo ya uzazi? Sperm counts, pre ejaculation, infertility hii ni kwaajili yako

    Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na motility, kujipa nafasi...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

    Habari wadau, Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto anatafutwa bila mafanikio. Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa hizi changamoto. Kama mwanamke hana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…