1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...