mateka

Mateka is a settlement in Kenya's Bungoma County.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  2. Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

    Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9. === Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu...
  3. U

    Serikali ya Ujerumani yawataka raia wake wanaoishi Iran kuondoka mara moja huku ikiituhumu serikali ya Iran kwa kuwafanya mateka!

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel: November 1, 2024 Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking By Reuters Today, 1:10 pm BERLIN, Germany — Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
  4. M

    Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
  5. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  6. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

    Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa. Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa! Hiyo vita hapo...
  7. Raisi wa Israel,Isaac Herzog aiomba dunia iwe upande wao kuwashinda Hamas ili kuwarejesha mateka wao waliopo Gaza.

    Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
  8. J

    Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

    Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
  9. Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi. Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel "Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?" Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
  10. Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  11. Waliokua mateka wa HAMAS wasimulia walichokua wanafanyiwa

    Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel. Mtu akishajiunga ule ushetani akili humhama, uzalendo unamtoka, atasahau hata wazazi na taifa lake...
  12. Urusi yaomba Umoja wa Mataifa usaidie kuachiwa kwa mateka Warusi walioshikiliwa na HAMAS

    Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran. ============== June 11 (Reuters) - Russia's Human Rights Commissioner said on Tuesday she had issued a fresh appeal to senior U.N. and other...
  13. Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  14. Kwa msaada wa Marekani mateka wanne waokolewa,wanne wafa katika purukushani za uokoaji pamoja na raia 274

    Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno. Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
  15. Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  16. Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  17. Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha Msemaji wa IDF...
  18. Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA" Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah. Hamas pia walisema...
  19. Kikosi kama kile kilichookoa mateka Entebe chasambaratishwa Gaza

    Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel. Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na...
  20. Hamas yasema hawana hao mateka 40 wanaotakiwa. Kosa la nani

    Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe. Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…