matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  2. BigTall

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  3. N

    Nifanye nini kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwa watoto wangu?

    Salaam wakuu Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia. Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
  4. B

    RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  5. ward41

    Matukio ya kidunia kila interval ya miaka kumi

    1900 - 1910: mapinduzi makubwa ya modern technology ya kisasa Kama magari, ndege etc. 1910 - 1920: Vita ya kwanza ya dunia 1920 - 1930: anguko kubwa la kiuchumi was dunia. ( Great depression) 1930 - 1940: Vita ya pili ya dunia 1940 - 1950: umoja wa mataifa unaanzishwa 1950 - 1960: kugawanyika...
  6. BigTall

    Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  7. GENTAMYCINE

    Mliokuwa 'mkikodolea' Kiumakini 'Kideoni' hilo 'Kutano' lao 'Idodomya' haya Matukio yafuatayo yamemaanisha nini?

    1. Muda wote aliyestaafu Umakamu Uenyekiti Lumumba alipokuwa akiongea Mstaafu mkubwa Kikatiba alikuwa Kainama na muda mwingine akichati kabisa. 2. Kila mara Mstaafu mkubwa Kikatiba alipokuwa akitizamana na mwenye Uenyekiti wake wa Lumumba sasa Wote walikuwa wakioneana Aibu na Wanabaiolojia. 3...
  8. Lady Whistledown

    Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  9. Ofisho mlinzi

    Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  10. Mwl.RCT

    Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    === Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo. Chanzo: https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312 === "Kukamatwa kwangu kulikuwa kilele cha Uonevu" - Freeman...
  11. Teko Modise

    Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  12. B

    Dkt. Samizi ashiriki siku ya wanawake duniani kwa matukio makubwa jimboni Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Machi 08, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho siku ya Wanawake duniani ambayo yalifanyika Jimboni kwake. Maadhimisho hayo yamefanyika Kata ya Kibondo Mjini kwa kuanza na maandamano yaliyoanzia Ofisi...
  13. TODAYS

    PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

    Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze. 👆🏾 Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo. 👆🏾 Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine. 👆🏾 Wananchi wakipiga...
  14. comte

    Kuongezeka kwa matukio ya mauaji na mmonyoko wa maadili ni kielelezo cha kushindwa kwa taasisi za dini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini, kwa kutoa mafunzo ya maadili yatakayosaidia kurejesha utu na hofu ya Mungu. Ameyasema hayo leo Februari 22 alipohutunia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jubilee ya...
  15. Idugunde

    Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

    Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu. Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko...
  16. Kasomi

    Geita sasa ni kinara wa Matukio; RPC wa Geita Henry Mwaibambe Kazi unayo

    Mkoa wa Geita sasa umekuwa na mfululizo wa matukio Hasa Matukio ya kujinyonga. Karibu kila siku RPC wa Geita Henry Mwaibambe amekuwa akitangaza Matukio hayo. Matukio yanayo ukabili mkoa wa Geita ni Matukio ya vifo hasa kujinyonga na kuuliwa. Kwa mfano kwa Siku ya leo tu ni zaidi ya matukio...
  17. Suley2019

    Askari Polisi wahusishwa matukio ya ukeketaji Mara

    Baadhi ya askari wa polisi wa Kanda Maalum ya Tarime/Rorya wanadaiwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwa kuwalinda watuhumiwa kutokana na ushawishi wa rushwa. Tuhuma hizo zimeibuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon...
  18. T

    AZAM MEDIA ongezeni idadi ya Camera mnazotumia kunasa matukio ya mechi katika ligi kuu ya NBC

    Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima. Wito wangu kwa wamiliki wa Azam media ni kuwa ongezeni idadi ya Camera katika production team yenu ili muweze kunasa matukio takribani...
  19. Idugunde

    Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  20. Sky Eclat

    Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
Back
Top Bottom