Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
Popote alipo huyu Mtu ajue kuwa Krav Maga namkubali na Mimi pia natamani Siku moja niwe kama Yeye.
Huyu Mtu Yeye Kazi yake ni Kusoma Kwanza upepo wa Watanzania hasa Kifikra kisha anaanza Kucheza na Akili zetu.
Ana uwezo wa Kutengeneza Jambo au Tukio la Kuibua Hisia Kubwa kisha kwa muda mfupi...
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?
Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu nahii nchi huwa kila mwaka inapokea wahitimu wapya wa maswala ya saikologia lakini mimi sijawahi waona.
Kila mwaka huwa tunapata idadi kubwa ya wanafunzi wanajinyonga wanakunywa sumu sababu ya kuogopa mitihani ya taifa ya...
Habar wadau wa michezo,
Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi wetu screen ndogo ambayo inakua imeonganishwa moja kwa moja na kifurush cha Azam ili kama linatokea...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko. Kutokana na taaluma yangu, Freelance Photographer naweza kukodishwa kupiga picha za aina yoyote kwa sehemu yoyote inayoruhusiwa, isipokuwa zile...
Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia.
Kama halijakukuta Basi fanya simple...
Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada.
Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi.
Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi...
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.
Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo...
Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku.
Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu wastaafu ambao kupitia kwao weekend iliyopita walisababisha mijadala mipana mitandaoni
1. TUKIO LA...
Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee.
Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi tofauti tofauti.
Tukio la kwanza hii ndiyo tarehe niliyo letwa duniani (birth day) lakini nje na...
Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019.
Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.