Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872.
Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...