Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha.
Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku.
Nimekuwa nikijiuliza sana, Je haya mambo yanachagizwa na mfumo wa kisiasa?
Maana ukiingia huko mjini twitter kila kona watu...
Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine....
Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday.
A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
Habari zenu wana JamiiForums
Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
Habari zenu
Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao.
Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.
Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki...
Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu...
Hello lads and ladies.
Legends!
Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake.
Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi.
Jana Tarehe 11.02.23...
Habari zenu wakuu,
Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k
Naomba kuuliza...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Wilaya ya Moshi Vijini, Ramadhan Mahanyu amesema amesema baadhi ya shule zimekuwa zikigomea kutoa ushirikiano kwa na timu za ukaguzi zilizotumwa na mamlaka za juu.
Katibu Mahanyu ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha walimu wakuu wa shule za...
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi matukio 1,360 mwaka 2022, ongezeko ambalo ni la matukio 138.
Takwimu hizi zilitolewa hapo Januari...
1. Meli ya MV Bukoba ilipozama Ziwani tarehe 21 May, 1996 Wamarekani kupitia Satellite yao waliona na Kutushtua huku wenyewe tukibung'aa bung'aa tu.
2. Miaka kama Mitano au Saba iliyopita (kama sijasahau) Mvua Kubwa sana ilinyesha Mkoani Dar es Salaam iliyoleta Madhara makubwa cha Kushangaza...
Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
LANGO LA MOTONI
CHAPTER 1
Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022
Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa.
1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyechaguliwa kikatiba kujiuzulu
2. Mbunge Luhaga Mpina kuibana Serikali bungeni kwenye mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.