Salaam wana JF,
Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28
Msafara ambao unajumiasha viongozi,wafanyabiashara,makatibu,wasaidizi nk.. Je nani anagharamia tiketi? Maradhi? Posho? Za kwenda na kurudi mpaka mkutano huo...