Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo.
Tunaangazia maeneo 10 ambayo ukiyazingatia itakusaidia kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kinachobakia
1. PUNGUZA MATUMIZI YA KODI YA...
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao.
Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria.
Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi.
Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kupitia utekelezaji wa Mradi wa uchakataji topetaka (Fecal Sludge Treatment Plant)...
Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia usalama barabarani hususani 'Traffic' pamoja na wadau wengine, lakini bado kuna changamoto ya msisitizo wa matumizi stahiki ya 'service road' hasa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya barabara ambazo...
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta
Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni
Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani
AU TUMUULIZE...
MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama
Mhe...
Habari wanajukwaa!
Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya kazi na kampuni ya Samsung, japo sina ushahidi wowote ila baada ya kuitumia nimeona inatumia Samsung...
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
Nisiseme sana....
Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake?
Mitandai ambayo ipo tz ni;
1.Tigo
2.Vodacom
3.Airtel.
3.Halotel
4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena.
Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo...
Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari.
Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu!
Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa!
Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.