Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama chips au wali kwa wale wenye migahawa midogo.
Hata hivyo kuna baadhi ya familia wao walikuwa...
Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma.
Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo limekuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo haya. Kadi hizi zinapotumiwa vibaya, zinachangia...
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.
Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana.
Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia.
Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
“Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
ccm
dar es salaam
diwani
freeman mbowe
haki za binadamu
jpm
matukio ya utekaji
matumizi
nani
rasilimali
serikali ya ccm
tanzania
utekaji dar
utekaji na mauaji
Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
Twende kazi.
Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa.
Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya dini za mapokeo na za kiasili, bado tunatafuta kujua ni nani amefanya matumizi sahihi ya akili zake...
Uwezo wa kufikiri wa mwanadamu unazidi kuathiriwa na matumizi ya mifumo ya akili bandia kama ChatGPT na mifumo mingine. Ni kweli inarahisisha mambo kwa kiwango cha juu lakini akili za mtu zinazidi kudumaa.
Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya...
Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora...
Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet.
so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi...
Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati
Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? "
kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu.
Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
harufu
harufu ya rushwa
mabaya
madaraka
matumizimatumizi mabaya
matumizi mabaya ya madaraka
rushwa
tenda
Kutokana na Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), kuonekana limetelekezwa, ufafanuzi umetolewa.
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai...
Je, unayajua Matumizi mengi ya foili ya aluminium tofauti na kufungia au kufunika Vyakula?
Foili ina matumizi mbalimbali kama Ifuatavyo
1. Kunoa Mikasi
- Tumia foili kunoa mikasi iliyopoteza makali.
- Kunja foili mara mbili au tatu na ukate kwa kutumia Mkasi
- Tumia kukata mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.