mauaji ya mwanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mara: Walimu sita wa kidato cha Sita mbaroni kwa mauaji ya mwanafunzi wao

    Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi...
  2. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia Pugu Secondary mwaka 2003?

    Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia pugu sec mwaka 2003 hadi kupelekea mauaji ya mwanafunzi mmoja? Wenye stori kamili tunaomba mtupatie Rest Easy Mwamba Res
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda...
Back
Top Bottom