Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi.
========
Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces have fought all the way to Kupyansk, a critical node in Russia’s supply lines in Kharkiv Oblast in...
Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke.
Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka.
Chanzo cha mauaji hayo...
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana
Upande wa mashtaka umeomba Mahakama hiyo kumpa Barasa dhamana ya gharama kubwa kutokana na aina ya kosa analodaiwa kutenda pia...
Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana watatu.
Askari waliokamatwa wanadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua vijana watatu wakiwa chini ya ulinzi...
Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA.
Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida.
Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na...
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu.
Cele amesema watu 6,424 wakiwemo Askari 18 waliuawa katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ambayo ni ongezeko...
Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba"
TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA
Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa imefungiwa ndani ya mifuko ya sandarusi 'viroba' katika Kitongoji cha Dibabara, Kijiji cha Kwastemba...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi.
Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
Mfululizo wa matukio ya mauaji ya kikatili hasa kwa Wasichana yaliyotokea hivi karibuni Wilayani Masasi Mkoani Mtwara kumetajwa kusababisha taharuki na hofu kwa wenyeji.
Kwa mujibu wa taarifa za vifo hivyo tangu Januari hadi Agosti mwaka huu wasichana watano na mvulana mmoja wamekutwa wameuawa...
Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali.
Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea...
Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022.
Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa watatu kati ya 27 waliokuwa wanakabiliwa na makosa mawili likiwamo la mauaji ya askari katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro.
Washtakiwa hao wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kueleza...
Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja.
Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam.
Marehemu...
Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia
Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti.
Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.