mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  2. Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  3. Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Kijana James mwenye umri wa miaka 16 anatuhumiwa kumuua kaka yake anaitwa Zakayo huku baba mzazi akikiri kushindwa kuwaamua ndugu hao wawili waliokuwa wakigombana kisa mifugo. Mimi naitwa Paulo Sindio, ni baba mzazi wa watoto hao, walianza kugombana mbele yangu kisa kikiwa ni uswagaji wa mifugo...
  4. B

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  5. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  6. Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati kuchunguza tukio hilo. Rais amesema haiwezekani Jeshi kutuhumiwa kisha liunde kamati ya kujichunguza...
  7. Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
  8. J

    Waziri Masauni: Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanauawa. Aunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji nchini

    Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu kulifuatilia suala hilo kwani Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanapoteza maisha. Masauni...
  9. Mwanza: Viongozi wa dini waguswa na mauaji yanayotokea nchini

    Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea. Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
  10. Takwimu za uhalifu Tanzania: Mauaji ya watu yanaongoza tangu 2016 hadi 2020

    Rais SSH na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Kwa mujibu wa utafiti wa Kitengo cha takwimu cha Taifa wa mwaka 2020, yaani NBS, takwimu za uhalifu nchini Tanzania zinaonyesha kuwa katika makosa ya jinai dhidi ya bnadamu, uhalifu wa mauaji unaongoza tangu 2016 hadi 2020. Takwimu hizo ni kama...
  11. K

    Upo uwezekano waliofanya mauaji Mtwara awajapelekwa Mahakamani, mbona hakuna picha zao wakiwa Mahakamani? Mwenye ushahidi wa picha au kesi namba atupe

    Kesi ya mauaji hasa katika mazingira ya kile kilichotokea Mtwara tulitegemea vyombo vya habari viwe na picha za kufikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka wahusika lakini Hadi Leo tofauti na taarifa ya RPC hakuna uthibitisho mwingine wa independent part katika kesi hii. Je angekuwa raia wa...
  12. Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  13. Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  14. Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni. Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
  15. Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
  16. Mauaji yanayoendelea yanatokana na kutokumwabudu Mungu

    Kuna kipindi kinaendelea asubuhi hii 1:53 Radio One, watangazaji ni Authman Juma na Abdallah, mgeni ni Mchungaji (wa kike) mjumbe wa Kamati ya Amani, Maadili na Haki za Binadamu. Mchungaji ameulizwa na watangazaji nini chanzo cha watu kurudi nyuma katika kumwabudu Mungu? Mchungaji ameitupia...
  17. Watu watano washikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu wa familia moja Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Mecco mkoani Mwanza. Kwenye tukio hilo lililotokea Jumanne Januari 18, 2022 mfanyabiashara, Mary Charles (42), mtoto wake, Jenifa...
  18. M

    Songea: Mwalimu mstaafu auawa na kutupwa kando ya barabara

    MWALIMU mstaafu Kassim Shiraz (67), amekutwa akiwa ameuwawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa pembezoni mwa barabara ya Songea- Mbinga. Kutokana na mauaji hayo, Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamsaka mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Kamongo, fundi seremala, mkazi wa mtaa wa...
  19. S

    Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  20. Kesi za mauaji zinavyowasumbua mahabusu na wafungwa wengi

    Nakumbuka kipindi nilipokuwa mahabusu na hatimaye mfugwa nilikutana na mahabusu wengi waliokuwa wanasubiri hatima ya kesi zao. Wengi wamekuwa kama vichaa au kuchoka kimwili kwa muda mrefu wanaosubiri hukumu yao. Nilikutana na mzee aliyekaa mahabusu toka 2008 anasubiri hukumu ya kumuua mkewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…