mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Amuua jirani yake baada ya kuchoshwa na maswali yake ya kikuda kila siku kumuuliza ataoa lini

    Safi wewe mwanaume wa huko nchini Indonesia kwani hata Mimi GENTAMYCINE huwa Nakerwa mno na maswali ya kikuda na ya kijinga kijinga kama hilo uliloulizwa na ukaamua kabisa kumdedisha mtu (Jirani yako) huyo. Mtu hunilishi, hunivalishi na wala hujachangia chochote katika maisha yangu na ada zangu...
  2. TODAYS

    Mashabiki wa Ndondi wa Olympic wamzodoa mshindi kwenye pambano la wanawake wakidai ni mwanaume

    Huyo binti pichani Angela Carimi kutoka Italy aliangua kilio mapema leo baada ya kula kichapo kitakatifu kwenye ndondi ya wanawake huko nchini Ufaransa kwenye ile michezo ya olimpiki. Wakati wa round ya pili alionekana kuweza kumudu mpinzani wake Imane Khelif ambaye anadai kuwa ni mwanamke...
  3. J

    Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  4. Yoda

    Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  5. The Republican

    Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  6. Dalton elijah

    Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  7. Lady Whistledown

    Rais Ruto: Waliohusika na Mauaji ya Miili iliyotupwa Kware watakiona cha Mtema Kuni

    William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili wahusika washughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Ruto amesema hakuna sababu yoyote inayoweza...
  8. Paul Alex

    Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

    Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump.. Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat... Hapo secret service walifeli. Secret service wakiwa na 'target' kwenye location, kazi yao ni kusecure mazingira...
  9. Replica

    Shahidi amtambua Jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

    Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya Thomas Masumbuko. Shahidi huyo, Salome Cheyo (9) akiongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Musa...
  10. K

    Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  11. R

    Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  12. O

    WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

    https://www.youtube.com/watch?v=Msu_70errXQ Credit: Millard Ayo
  13. JanguKamaJangu

    Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  14. Tajiri wa kusini

    Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

    Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani? Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
  15. Tajiri wa kusini

    Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

    Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani? Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
  16. Mau Mau

    Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

    Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera. TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo. PIA SOMA - Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko...
  17. NALIA NGWENA

    UVCCM wapo busy kupambania mtandao wa "X" (zamani Twita) Ufungwe Lakini siyo kujitokeza kulaani, ulawiti na mauaji ya Albino

    Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo. Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata...
  18. Technophilic Pool

    Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  19. Suley2019

    Pre GE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  20. uhurumoja

    Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
Back
Top Bottom