Kabla sijaoa niliachana na wanawake kadhaa,ambao tulipendana sana nao,na niliumia sana moyoni.Wa kwanza ni Tana,ama nilimpenda sana lakini wakati huo kipato changu hakikuwa kikubwa,akachukuliwa na mkaka mmoja na akamtafutia kazi ya kujishikiza,aisee moyo uliniuma sana lakini ndio hivyo,hatahivyo...