maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  2. Chakaza

    Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
  3. Shabani mbilu

    Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

    Habari wadau hivi maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?
  4. T

    PICHA: Hivyo ndivyo watoto wa yule mzazi uliyemuumiza walibaki

    Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake. #TAKARI KABLA YA KUMDHURU MWINGINE KWA LOLOTE.
  5. L

    Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno

    Habari wana JF poleni na majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili...
  6. C

    SoC04 Hisia za maumivu ya ajali za barabarani zinavyomezwa na maneno ''Tuko kwenye mchakato"

    Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
  7. Mjanja M1

    Maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele

    Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi. 1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake. 2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
  8. I am Groot

    Maumivu tu

  9. Baba Vladmir

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  10. G

    Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  11. Optimists

    Maumivu yanayohama mgongoni na kiunoni

    JF doctor habari. Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega. Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye spinal cord, yaani maumivu yanapokezana, yanaweza anza kiunoni then baadae yanaacha yanahamia mgongoni...
  12. J

    Dkt. Mollel: Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumikia April hii 2024 kwa tarehe itakayotajwa!

    Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa ===== Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
  13. K

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
  14. Niache Nteseke

    Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Heshima kwenu wadau. Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu. Ikapatikana nafuu ya kuanza kutembea na mara kwa mara mfupa wa goti huwa unauma hasa kipindi cha...
  15. N

    Hivi kuna ushahidi gani wa kwamba mimea haipati maumivu inapokatwa?

    Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
  16. B

    Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

    Amesikika mwamba huyu wa Kigali: 1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara. 2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi: 3. Kwamba kumbe tokea 1994 amekuwa akiendelea kitini kwa maumivu makali: 4. Kwamba hata hivyo amekubali Tena, kwa...
  17. pascal luoga

    Maumivu ndani ya pua (maxillary sinus area)

    Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja, Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa. Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time...
  18. mahindi hayaoti mjini

    Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
  19. F

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
  20. kelphin

    Kwa kiwango cha wachezaji hawa, Dar Young Africans tujiandae na maumivu mapya

    Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
Back
Top Bottom