Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko
Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani.
Ni hivyo tu shukrani
Wadiz
27 September 2024
Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu
https://m.youtube.com/watch?v=hVpKDfaNKko
Profesa ameyasema haya kwenye semina iliyoandaliwa na HakiArdhi na mada kuu ilihusu maumivu makali ya bomoabomoa wanayopitia wamiliki wadogo wa ardhi.
HakiArdhi ambao ni...
Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako
Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao
Mateso yetu kwaoo n sikukuuu
Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye...
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
Sio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa.
Wapenzi wengi siku za leo...
Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma aliamua kumchukua mkewe na kuishi nae mjini Singida. Baada ya miezi kadhaa, mkewe alipewa zawadi ya...
HABARI
Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu.
Maumivu yake ni makali mno...
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka mingi kujua kwamba wanaume wanalia pia. Nilimchukulia mume wangu kama mtu wa ajabu. Namwona akiondoka nyumbani kila siku na kurudi akituletea riziki. Siku moja nilipokuwa nimeondoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka kwamba nilihitaji...
Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
Habari wakuu poleni na majukumu.
Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.
Je, tatizo nini itakuwa?
VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo.
LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea.
Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa.
Kutetemeka na kufa ganzi kwa muda mrefu au isiyoelezeka kwenye miguu (paresthesia) inaweza kuashiria athari katika mfumo mkuu...
Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii kwa marafiki zake na walimu wake. Kipaji chake kilikuwa cha kipekee, na kila mtu alimpongeza kwa sauti...
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo.
Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia ni mnunuaji wa mwisho yeye ndie anapaswa kulia na hata kuingia Barabarani. Sasa hii ya Kariakoo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.