maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia. Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea, Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...
  2. EMMANUEL JASIRI

    Kama umewahi kupona maumivu ya misuli, mishipa, magoti na kiuno kwa njia asilia, naomba msaada

    Tafadhali naomba unijuze Ili kupona ulitumia mimea ipi Kwa kiasi kipi Na matokeo ya kupona hilo tatizo yalitokea ndani ya siku ngapi? Na huo mmea unapatikana mkoa upi,wilaya ipi,au maeneo yepi?
  3. MR.NOMA

    Msichana wa 36 anasumbuliwa sana na Maumivu ya Kiuno. Afanye nini?

    Wakuu kwema? Tunaomba msaada wa kitabibu/ ushauri ili huyu mwanamke apone. It's more than 5 years ila saiz hali ndio inazidi kuwa mbaya Zaidi, huyu ni binamu yangu analalamika kuumwa na kiuno na sehem ya chini ya mgongo. Ameenda hospital wanamwambia tatizo hilo limesababishwa na uzazi na kuanza...
  4. Mtu Kwao

    Kuna maumivu ya kuachwa, lakini pia kuna maumivu ya kuachwa bila kula tunda

    Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo. Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda na ulikuwa unahudumia kila kitu. Ila kwenye swala la kula tunda bado ulikuwa unazungushwa mpaka...
  5. Analogia Malenga

    SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

    Baada ya mafanikkio makubwa ya utafiti wa matumizi ya Panya kwenye kutambua mabomu na vimelea vya kifua kikuu na mambo mengine, Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA wanasema kuna uwezekano mkubwa wa Panya hao kutumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona...
  6. D

    Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  7. R

    Maumivu mwilini

    Nahisi maumivu Kama ya kung'atwang'atwa mwilini. Sababu ni Nini????? Naomba kufahamu waungwana........!!!!
  8. Morg

    Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
  9. Idugunde

    Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

    Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia. Lakini mbona alikuwa akipiga pushup kama hata matatizo yoyote? Mbona alikuwa anasafiri kwa gari umbali mkubwa...
  10. Cobra70

    Nyuma ya Legacy kuna maumivu

    Nawasalimu wadau wa JamiiForums, Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli na pia bila kumsahau aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar hayati Maalim Seif. Pili: niombe...
  11. J

    Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Wakuu Habari za mida. Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa kulia. Inafikia muda shingo inakua inauma muda mwingine inakua kama inakakamaa dizain kama nimekabwa...
  12. Melancholic

    Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

    Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo nikuone usipoenda bac ananuna na vile vile anajua madem wa hapa home wananipenda mno nikaona niwe...
  13. Mboka man

    Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

    Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia. Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
  14. Mboka man

    Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

    1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena. 2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia. 2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
Back
Top Bottom