maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    #COVID19 WHO: Usitumie dawa za maumivu (painkillers) kabla ya kupata Chanjo ya COVID-19

    Je, unatumia dawa za kupunguza maumivu kabla ya chanjo ili kuepusha athari (side effects) zake? Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo. WHO inasema kuwa athari za kawaida za chanjo kama vile maumivu ya kichwa na uchovu mara nyingi hutokea kwa kiasi...
  2. D

    Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  3. BLACK MOVEMENT

    Jinsi Watanzania tunavyoumia huku tukitanguliza Utani

    Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele. Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama vile; Mbele kwa mbele, Mama anaupiga Mwingi, tuko Burundi, tunaisoma namba wote, Kazi eendelee na...
  4. Kasomi

    Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya kwanza nilikua naonekana mnyonge sana, hasa kutokana na ugeni wangu na kila mmoja ndani ya darasa...
  5. BAK

    Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  6. K

    SoC01 Watanzania na maumivu ya tozo za miamala

    Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki hisani ya wanaowazunguuka na wakiziba masikio yao kunenepesha matumbo yao na familiya zao tu. Watu...
  7. Mshana Jr

    Tuhuma inayoharibu future kwa maumivu makubwa. Je, Serikali ina la kujifunza?

    Hii ni simulizi ya kutia huzuni mno ya mhanga wa kusingiziwa tuhuma aliyekaa gerezani mahabusu kwa miaka tisa.. Pengine katiba mpya itarekebisha haya mapungufu ya kisheria. Kipindi cha pili na cha mwisho cha utawala wa hayati Benjamin Mkapa kulikuwa na matukio mengi sana ya uvamizi wa kwenye...
  8. Alexjohn1

    Maumivu ya kuachwa katika mapenzi hayana mfano

    [emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo huja wakati ambao tayari umekwisha mpoteza mtu umpendae kwa dhati... Pengine... Zaidi hata ya neno...
  9. Opportunity Cost

    Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  10. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako. Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa asiwe na hasira, apokee simu yake kwani ana hamu ya kusikia sauti yake. Ugomvu kuntu uliibuka maana...
  11. M

    Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili. Asanteni sana
  12. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    FIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP MAKES FOREVER PAIN
  13. mpndz

    Mgonjwa wangu anapata maumivu ya bega kwa miezi 3

    Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla. Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya kawaida na massage lakin juhudi hazijazaa matunda
  14. D

    Naomba kujuzwa dawa ya jino ninapata maumivu Makali

    Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
  15. Chikumba one

    Vyombo vya Dola havipaswi kuwa sehemu ya Maumivu ya Taifa

    Kesi ya Mdude inaonyesha namna mtawala aliyetangulia alivyotumia vibaya vyombo ya Dola kupambana na Wapinzani WAKE. Ndio, ni Wapinzani WAKE, sio Wapinzani wa Nchi. Hawa wote wanaoonekana hawana hatia leo bila shaka yoyote waliteswa kwa maelekezo yake. Ni bahati mbaya sana mtu aliyewatesa...
  16. Mumlii

    Mkusanyiko wa maziwa inaeza ikaleta maumivu?

    Habari wana jf, Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa hivi je ni nini hichi maana dah maumivu nanyonyesha chuchu haiumi.
  17. Determinantor

    Baada ya Maumivu kuwazidi "MATAGA" waamua kuomba "backup"

    Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu. Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi yao ya WhatsApp ili kuonyesha kutoridhika baada ya kukitumikia chama hasa kwa kumtusi Mheshimiwa Mbowe...
  18. Kibosho1

    Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

    (i) Kutoza tozo ya shillingi 10 hadi shilingi 10,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa. Kiasi cha tozo kinatofautiana kulingana na thamani ya muamala wa fedha unaotumwa au kutolewa. Pendekezo hili litaongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 1,254,406.14; na (ii) Kutoza...
  19. JaphetJacob

    Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

    Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita. Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha. Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope. Napmba ushauri.
  20. Chagu wa Malunde

    Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

    Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
Back
Top Bottom