Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.
Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile, mchezo uliishia kwa mkapa kule ilikuwa wanakwenda kukamilisha ratiba tu.
Sasa wanarudi kwenye ile...
WANAUME WANA MAUMIVU PIA
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU, MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA
HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS)
Ndugu zangu wana jamii forum kwanza nikili kwamba huu ugonjwa ninao na ni hatari sana kimaisha kiujumla na unakatisha tamaa sana kiasi kwamba mpaka inafika hatua unaweza kuchukua...
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza.
Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya...
Habari wanajukwaa hili la Afya.
Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na anahisi kunakitu kinatembea toka kifuani hadi mgongoni.
Hali hii ilikuja kutulia baada ya nusu saa.
Leo...
Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu.
Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter.
Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
Labda nikwambie tu kama ulikuwa hujui;
Mate ya binadamu Yamebeba ndani yake kemikali inayoondoa maumivu(painkillers) inayoitwa Opiorphin,
ambayo inanguvu mara 6 zaidi kuliko Morphine au Panado.
"Kwahiyo ndugu zangu maumivu yakizidi sio hadi umwone daktari au dawa 3 bali mfate bebi wako...
Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano)
Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani.
Chanzo: marathonioverstz
Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA...
Heshima kwenu wakuu..
Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu.
Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na mazoezi mengine ya viungo.
Pia huwa ninapenda sana kukimbia mara nyingi huwa natoka kijito nyama mpaka...
Wakuu kwema?
Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu).
Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya.
Timu bado...
Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa.
Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
Habari za jioni.
Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti?
Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu?
Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau.
Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni...
Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako
Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.