Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake.
=======
Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge
By
Christopher Rowland
May 4, 2021...
Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu.
Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay.
Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay.
Kwa Afrika mashariki hakuna Album wala EP iliyowahi kufikisha streams hizo ndani ya Boomplay. Sio...
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets.
Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production...
Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa.
Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha.
Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.
Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
Kampuni ya Chanjo ya #COVID19 ya Marekani, Moderna imekadiria kuwa na mauzo ya Dola za kimarekani bilioni 18.4 sawa na Takribani Tsh. Trilioni 41.8 kwa mwaka 2021
Fedha hizi ni zaidi ya zile zilizokadiriwa awali ambazo ilikuwa Dola Bilioni 11.2 sawa na Tsh Trilioni 25.97. Mauzo haya makubwa...
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Habari!
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo dizeli na petroli.
Serikali ya Norway ina mpango wa kukataza mauzo ya magari yatumiayo petroli na...
Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane.
Uaminifu unatakiwa kwa...
Habari,
FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NA WATUWAZIMA ELIMU KUANZIA - KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA.
PLATINUM CREDIT - KANDA YA MOROGORO
Tunatangaza nafasi za AJIRA mpya idara ya MAUZO -KANDA YA MOROGORO ( GAIRO, MVOMERO,IFAKARA,KILOMBERO,MAHENGE/ULANGA,MALINYI,MLIMBA),Tunahitaji watu wenye uzoefu...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Boshu Kulwa (60) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Magdalena Lunguya (45) baada ya kumhoji kuhusu fedha za mauzo ya mbuzi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Debora Magiligimba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema kuwa amemuagiza mkuu wa polisi...
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.
https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
Tukiwa shule ya msingi, tulipewa eneo la kulima. Tuligawanywa maji si ya watu kumi na kila kundi lilipiga kura kumchagua kiongozi wa kundi. Amina alipata kura nyingi katika kundi letu hivyo akawa kiongozi wetu.
Tulipewa majembe na kuanza kuchimba mafuta. Kila kundi liliamua nini kitapandwa...
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya.
Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi.
Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa Gold,silver kwenye nchi flani. mfano
Come closer ya Wizkid ft Drake ni Gold in U.S.A, Canada hiyo hiyo...
Habari wakuu, (Moderators samahani,natumia link)
Nasaidia kumsambazia ndugu yangu mwenye diploma ya uhasibu na post graduate ya marketing, akiwa amefanya kazi hizi kwa miaka 5, anatafuta kazi mpya baada ya mwajiri wa mwanzo kurudi kwao nje ya nchi na kuhamisha uwekezaji.Kama unayo nafasi au...
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye mapato makubwa yatokanayo na mauzo ya dhahabu.
Kampuni ya Africa Gold Refinery ina makazi...
Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria.
Big up to him. Nini umejifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.