mawakala wa uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamizi wa uchaguzi Siha: Mawakala wa uchaguzi wameridhishwa na mchako wa uchaguzi

    Jumla ya wapiga kura 88,000 walitarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, uliofanyika jana Desemba 30, 2025. Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Siha, Marko Masue, amesema jumla ya vituo 230 vya kupigia kura vilitengwa kwa ajili ya zoezi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: Mawakala wengi wa CUF hawajaapishwa. Wakienda kuapishwa wanaambiwa njoo kesho. Kesho wakienda ofisi zimefungwa

    Hawa wasitupigie kelele. Huwezi ukawa unafanya kitu kile kile miaka yote alafu ukategemea matokeo tofauti. Lissu alipowaambia wajiunge nae kwenye NRNE walisema kuwa Uchafuzi, sorry, Uchaguzi upo Kikatiba kwa hiyo wataenda kupambana Sasa hivi wanalia tena? ==================================...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ACT Wazalendo wakwama kuapishwa

    Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache! Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo! ================ Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Rahma Mwita (ACT-Wazalendo): Uchaguzi umegeuka uchafunzi, wasimamizi Mafia hawataki kuwaapisha mawakala wa upinzani

    UCHAGUZI UMEGEUKA UCHAFUZI TENA. JIMBO LA MAFIA Wasimamizi wamekimbia vituo hawataki kuwaapisha Mawakala wa Vyama vya upinzani wanasema wamechelewa na muda wamepanga wao. Hivi ndivyo mlivyowanoa wakimbie vituo. Mtakiona oktoba 29 Pia soma > ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…