mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mawasiliano ya TEHAMA Yazingatie Usalama na Sheria za Nchi

    NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na Wakuu wa Idara na Divisheni TANROADS Makao Makuu, Mkufunzi wa mafunzo na Naibu Waziri Mambo ya Ndani...
  2. benzemah

    Bilioni 37 kuboresha mawasiliano wilaya 23 nchini

    Kukamilika kwa upanuzi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutaisaidia utekelezaji wa Tanzania ya kidijiti na kufungua fursa za kiuchumi na mawasiliano ya uhakika kwa wananchi katika wilaya 23, imebainika. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hayo jijini...
  3. FRANCIS DA DON

    Mkongo wa taifa wa mawasiliano , kwa uwekezaji tuliofanya ilibidi GB1 ya data tuuziwe 100/=

    Tanzania imepitiwa na mkongo wa kimataifa wa mawasiliano uliopita chini ya bahari, na kwa ufuatiliaji mdogo nilioufanya juu ya gharama halisi za uendeshaji na utunzaji wa mradi husika (running & Maintanance) , GB 1 ya data ingepaswa tuuziwe kwa shs.100/= , na hapa bado wangepata faida kubwa...
  4. BARD AI

    TCRA kuanza ukaguzi wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwenye Nchi vinakoagizwa

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), John Daffa amesema kuwa ukaguzi utaanza Mei 23, 2023 kwa lengo la kuepusha na kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi Nchini. TCRA imesema Hatua hiyo ni katika kutekeleza Kanuni zilizoazimiwa katika Mkutano wa Taasisi...
  5. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  6. JanguKamaJangu

    Serikali ya Kenya yatishia kuvifutia leseni vituo vya TV vilivyorusha maandamano ya Azimio

    Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga. CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
  7. Analogia Malenga

    TCRA yatoa onyo kwa waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano ya simu ambavyo havijaidhinishwa

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya 2003, na kupewa jukumu Ia kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania. TCRA imebaini kuwa yapo baadhi ya Makampuni au wafanyabiashara...
  8. R

    Anaejua mawasiliano ya simu Parokia Ya Roho Mtakatifu-Tabata Segerea

    Wakuu nisaidieni mawasiliano ya Parokia tajwa hapo. Nimejaribu ku- Google bila mafanikio. Shukran sana.
  9. K

    Ushauri Mwigulu kuwa makini sana kwenye mawasiliano

    Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake. Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
  10. Nakadori

    Mawasiliano ya Dkt. Kuboja

    Wakuu habari Ninaomba mwenye mawasiliano na Dkt. Kuboja aliyekuwa anatibu Muhimbili na part time Agakhan na TMJ. Pia naomba kujua kama bado weekend anapatikana Aga Khan au vipi. Ni dharura kubwa.
  11. B

    Benki ya CRDB yakabidhi kituo cha mawasiliano Ocean Road

    Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
  12. Trab na Trat

    Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  13. Mzawa_G

    Mfumo wa mawasiliano wa vyombo vya anga za mbali

    Mawasiliano na vyombo mbalimbali vya anga za mbali ni kitu muhimu sana ndio maana mamlaka husika imekuwa ikiweka mifumo imara itakayoweza kuwasiliana na vyombo mbalimbali vinavyoenda katika anga za juu kufanya chunguzi. Mengi yaliyojificha yapo juu angani kwa kuchukulia vile tunavyoweza...
  14. James Hadley Chase

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  15. Ryan Holiday

    Mawasiliano hujenga mahusiano

    Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayo mzunguka. Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani, msikitini, shuleni, vyuoni n.k. Kila Mwanadamu hapa Duniani anatamani kufikia malengo yake makubwa ya...
  16. RoadLofa

    Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  17. Analogia Malenga

    Nape: Tutaongea na Guinness watuweke kwenye rekodi ya dunia kwa kuweka mawasiliano Uhuru Peak

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza...
  18. Jidu La Mabambasi

    Prof Makame Mbarawa hatoshi Ujenzi na Mawasiliano?

    Kwa Prof Mbarawa sasa majipu yanalipuka kila uchao ndani ya wizara yake. Tumeona ya Precision Bukoba, tumesikia ya ndege za Air Tanzania kuwa grounded. Huko SGR na matreni bado kizungumkuti, mapya si mapya(mi nafikiri mapya). Sasa nimeona clip hii ya ukakasi Airport entrance gates. Management...
  19. Master Stance

    Naomba mawasiliano ya VETA Kigoma

    Habarini ndugu, Yeyote mwenye mawasiliano na chuo cha ufundi stadi veta kigoma. Naomba anipatie nipo nje ya Muda asante.
  20. J

    Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
Back
Top Bottom