Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayo mzunguka.
Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani, msikitini, shuleni, vyuoni n.k.
Kila Mwanadamu hapa Duniani anatamani kufikia malengo yake makubwa ya...