Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali.
Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.
Utasikia mara yule kawa hivi ama vile ili mradi wachafuane tu.
Je, huenda kupo kutoelewana kwao wakubwa wale?!
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri kutoka nyanda za juu kusini. Yule mbunge alitaka kulazimisha wale wanaoitwa walimu waliojitolea...
Hali ya maisha imekuwa tete sana.
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama.
Hali mbaya wengine wakichota billions
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee.
Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi.
Bado kama Taifa hatujafikia kiwango tulichohitaji kufikia katika kukabiliana na maadui tajwa. Hivyo...
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa Jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023, huku agenda za kujikwamua kiuchumi katika kanda hiyo ya Kusini mwa Afrika zikipewa kipaumbele.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaotathmini utekelezaji wa...
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China
Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari.
TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia,
Nashauri Mawaziri wote waweke Ukurasa (platform) hata kwenye website za wizara zao zenye sehemu mbili
1. Kupokea maoni
2. Kupokea malalamiko
Na waziri mwenyewe au msadizi wake awe anapitia mwenyewe mara kwa mara ili apate ujumbe BILA filter
Ukifuatilia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
"Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri...
Salaam WanaJF,
Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja.
Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii?
Shukrani,
Companero
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali.
Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali.
Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.