Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023
RAIS SAMIA
“Kutofanyika kwa...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala yake atawaengua.
“Sipendi sana, nataka niwaambie, hii itakuwa mara ya mwisho kutumia sababu hii kupangua wizara...
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education...
Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini?
Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.
Tangu Rais...
1. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
4. MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA - Jimbo la Ruangwa -...
Ni jambo jema
Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa
Kazi Iendelee
Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana.
Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama.
Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida (makusanyo ya mapato).
Foreign Reserve hutumika tu endapo kuna mkwamo wa kiuchumi na serikali huzitumia...
Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa
Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo mizigo
“Kwanini Serikali isiache utaratibu wa ajira kwa njia ya uteuzi ili kupata watu wenye uwezo...
Wana jicho latatu someni mnielewe....
Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo?
Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku
"MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
Tumesikia Lissu akisema wazi tusimlaumu Waziri wa Fedha kwa sababu ni karani tu anayewelekezwa chakufanya na Rais. Nakubaliana asilimia mia moja na hoja kwa kuzingatia mambo yafuatayo;
~ Mzee Mtei alipokataa kumsikiliza Mwalimu Nyerere na kuamua kusimamia uelewa na taalum yake ilimlazimu...
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri...
Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana.
Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya
Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980.
Kwa mara pili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022
Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
Wakuu kwema!
Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4. Nk...
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4.Nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.