Leo tujikumbushe Waheshimiwa Mawaziri waliowahi kutumbuliwa kwa fedheha ikiwemo tuhuma za (rushwa, udhalilishaji, ulevi, kutumia madaraka vibaya).
1. Laigwanani Mkuu (tuhuma za Rushwa RICHMOND) - mzee wa kuzungusha mikono hewani, ha ha ha
2. Charles Kitwanga, (ulevi)
3. Prof Muongo,
4. Kanghe...
CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili kukinusuru chama ni nini?
Mawaziri wanaoongoza kulalamikiwa na wananchi ambao ni Wajumbe wa Halmashauri...
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17...
Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu.
Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi?
Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
WAZIRI MHAGAMA: HATUPENDEZWI KUTUITA MAWAZIRI NI WANAFIKI
"Ninaamini kabisa hakuna Waziri yeyote ambaye amesimama hapa akajipiga kifua mbele akatetea ubadhirifu wa fedha hizo ambazo zimekuwa zikifanywa na watumishi wa Serikali. Ziko hatua zilizochukuliwa" - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi...
Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana.
Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida.
Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu...
Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
Anayepewa ushauri akausikiliza bila kuufanyia kazi, huyo ni nusu mtu.
Anayepewa ushauri akausikiliza na akaufanyia kazi huyo ni mtu kamili.
Anayepewa ushauri asiusikilize kabisa, huyo ni mtu sifuri, hakuna mtu hapo.
Dhana ya ushauri kwa viongozi...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita.
Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha...
Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa.
Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani.
Waziri wa ardhi mheshimiwa Silaa alipokuwa mkoani Katavi katika ziara ya katibu mkuu wa CCM Chongolo alisema...
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.
Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.
Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu.
Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine.
Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa.
Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
Mwigulu na Makamba wamegeuka kuwa Content Creator (mengine siyasemi hapa kama Mwigulu kuwa Coach na Mmiliki wa ile timu ya Singida na kumiliki kampuni ya betting, na pia Makamba kumpa dada yake deal za tender kubwa kubwa wasifikiri hatuwaoni) sasa hii ya kutembea na wapiga picha shazi na...
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita.
Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.