mawaziri

  1. dubu

    Nani kamfunga mdomo Paul Makonda? Sijasikia akiwasema Mawaziri Mizigo

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika. Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
  2. Jaji Mfawidhi

    RC Chalamila ni kama Profesa, ana mawazo kuwazidi Mawaziri!

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwalimu Chalamila, kwa elimu yake ndogo ya Dar es Salaam na pia kukulia mazingira duni, maskini na kukosa exposure ameanza ku-cop na Dar es Salaam[mjini]. Mwalimu Chalamila ameelezea kushangazwa na mna ufukwe wa Coco Beach unaendeshwa. Amesema usiku mmoja akiwa na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Atoa Helkopta kwa Mawaziri Kutafuta Ufumbuzi wa Miundombinu ya Barabara ya Liwale - Lindi

    RAIS SAMIA ATOA HELIKOPTA KWA MAWAZIRI KUTAFUTA UFUMBUZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA YA LIWALE - LINDI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Helikopta kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Deo...
  4. ubongokid

    Maoni Chokonozi:Wabunge Wasiwe Mawaziri

    NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo. Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali na Yanaondoa kabisa Msingi wa uwakilishi wa wananchi na uwajibikaji wa serikali.Bunge ni Muhimili...
  5. K

    Tunaenda kuomba msaada kwa nchi ambazo Mawaziri wanatumia treni

    Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔 Yote haya...
  6. peno hasegawa

    Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

    Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
  7. GENTAMYCINE

    Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  8. BARD AI

    Makonda awaweka matumbo joto Mawaziri

    Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende. Amesema akihitimisha ziara katika mikoa 20 ataanika udhaifu uliopo katika kila sekta. Makonda ameeleza hayo leo Jumanne Februari...
  9. Roving Journalist

    Mawaziri wa Nishati Tanzania na Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  11. BARD AI

    Rais Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri

    Siku chache tangu aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohammed Saidi kujiuzulu nafasi hiyo leo, Jumamosi Januari 27.2024 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Baraza la Mapinduzi kwa...
  12. S

    Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

    Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030. Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao. Mawaziri...
  13. Jackal

    Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

    Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao. Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
  14. Nsanzagee

    Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

    Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025 Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye...
  15. GENTAMYCINE

    Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  16. PureView zeiss

    Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
  17. Tajiri Tanzanite

    Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    Hapo vip!! Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli. Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k...
  18. Trubarg

    Kwanini kurasa za Instagram za Mawaziri, Wizara hata Ikulu zimezuia Direct Messages (DM)?

    Habari wadau? Katika ulimwengu wa sasa mitandao ya kijamii imekuwa ni nyenzo muhimu katika kufikisha ujumbe kwa haraka. Wakati mwingine jumbe hizi zinamanufaa makubwa kwa jamii ata nchi kwa ujumla. Nmejaribu kuangalia baadhi ya pages za instagram za wizara, mawaziri na hata wakuu wa wilaya...
  19. R

    Vipo viashiria vya utakatishaji fedha, upo wizi; kuna kufeli kwa wizara lakini ipo hofu ya kusumbua wapiga kura. Tufanyeje nini tuwe salama kiuchumi?

    Hali ya uchumi kidogo siyo nzuri, miradi mikubwa imesimama na baadhi imeenda beyond time kwa sababu hakuna fedha. Speed ya ujenzi wa miundombinu mfano barabara imeshuka sana; mfano taarifa zinasema barabara ya kimara to kibaha mkandarasi ameondoka site na kuacha mawe barabarani huku maeneo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Achaguliwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri AfCFTA

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA Council of Ministers) kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kuanzia Desemba 07, 2023. Aidha, Waziri Kijaji ameongoza Mkutano wa 12 wa Baraza la...
Back
Top Bottom