mawaziri

  1. JanguKamaJangu

    Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
  2. U

    Rais Ruto atangaza Baraza la mawaziri awarejesha baadhi ya mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali President William Ruto has named his new Cabinet members nominees a week after announcing the dismissal of the entire cabinet save...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  4. Dr Akili

    Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  5. F

    Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

    Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu. Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado. Updates...
  6. Ileje

    Mawaziri kuchukua fedha kutoka makampuni yaliyo chini ya wizara zao ni ufisadi!

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
  7. Wakusoma 12

    Rais Samia, muondoe mara moja Nape kwenye Baraza lako la mawaziri. 4Rs unazozihubiri zinaonekana ni utapeli wa kisiasa.

    Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
  8. Tulimumu

    Mtindo wa ma DC, RC na Mawaziri kusema OCD mchukue huyo wanapozidiwa hoja na wananchi ni wa kitoto sana

    Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia wanawasukumizia wananchi wanaotoa hoja kwa ma OCD kama mbinu ya kuwanyamazisha. Hii tabia inajenga hofu kwa...
  9. J

    Inawezekana kweli Katiba mpya ni Kitabu tu, Kenya Rais wao amegoma Kabisa kuitii Mahakama na hawana la kumfanya!

    Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Je, Tanganyika inahitaji kiongozi kama huyu? Kapunguza mishahara ya Mawaziri 30% na kaongeza ya Wafanyakazi 50%

  11. Kaka yake shetani

    Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

    Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto. Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
  12. W

    Tanzania haina muundo rasmi wa Wizara Kikatiba, na hivyo kila Rais huunda baraza lake kwa jinsi aanavyo inafaa kurahisisha utendaji wake?

    P02: MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI Lina wizara 14, Mawaziri 14, hakuna Manaibu Mawaziri Wizara hizo ni: 1. Ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi wa umma, katiba sheria na utawala bora) 2. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano, mazingira) 3. Ofisi ya waziri mkuu(sera, bunge, uratibu) 4. Afya...
  13. C

    Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  14. GENTAMYCINE

    Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
  15. The Supreme Conqueror

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
  16. Doctor Mama Amon

    Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  17. Lady Whistledown

    Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza lililotolewa na Rais Joe Biden, wakisema wanapinga makubaliano yoyote kabla ya Hamas...
  18. P

    SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

    Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
  19. Suley2019

    Pre GE2025 Kuna Mawaziri wanatamba kwenye Wizara zao lakini majimboni kwao hali mbaya

    Salaam Wakuu, Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu mibovu na matatizo ya msingi kwenye maeneo yao hawayafanyii kazi. Hapa najiuliza Uwaziri umekuwa...
  20. Pfizer

    Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani

    Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha Azimio la Mawaziri (Ministerial Declaration on Water for...
Back
Top Bottom