Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza...
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama
Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache.
Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni
1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania...
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.
Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Kipigo cha bao 1-0 kwenye derby ya Kariakoo kimewaibua Wazee wa klabu ya Simba, ambao sasa wametoa siku saba kwa mawaziri ambao wanawashutuma kwa kile wanachodai kuwa ni hujuma dhidi ya klabu yao. Wazee hao wanadai kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali, TFF, GSM na Yanga walihusika katika mpango...
Mawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo.
Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu?
Ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
Hapa ni Nairobi kikao cha...
Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.