MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya...
Nimatumaini yangu kumekucha salama, wagonjwa na wenye changamoto ninaungana nao kuomba na kupambana ahueni ipatikane.
Aidha ninaungana na wafiwa na wale walioguswa na msiba wa mzee wetu Ali Magoma kwa udhalilishaji na mateso aliyefanyiwa na hatimaye mauti kumkuta.
Kelele zimekua nyingi hadi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika...
Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena.
Hiyo inamaanisha nini?
1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka)
2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe.
Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
1. Wenzetu pamoja na Katiba 'nzuri' bado wanafanya mzaha kwenye vetting ya Viongozi wao.
2. Hivi punde Mawaziri wateule 20 wamepitishwa na Bunge tayari kula kiapo na kuanza 'kuiba' upya pamoja na kutokufanya vizuri kwenye mahojiano. Yaani kinachoitwa mahojiano ni kama "formalities" tu...
Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo!
Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya...
Kwema Wakuu!
Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha wananchi wa Jimbo Husika.
Sioni tija ya Mbunge kukaa Miaka nenda rudi. Kama nia ni kuwakilisha Wananchi...
Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano.
1. Masauni (Mambo ya Ndani),
2. Kombo (Mambo ya Nje),
3. Mbarawa (Uchukuzi),
Wanaukumbi.
Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia.
Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
Kiufundi unaweza ukasema ni mawaziri watano. Lakini pia ukisema ni mawaziri wanne napo utakuwa hujakosea maana kuna huyo mmoja alirithiwa na baadaye kidogo ndo akabadilishwa.
Ni hii wizara ya mambo ya nchi za nje.
Hivi kuna nini hapo wizarani? Katika awamu hii tokea 2021, mawaziri wake wengine...
Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .
Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu...
Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu?
Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha?
Ni swali tu
Jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alikutana na Baraza la Mawaziri na kushirikiana nao katika mazungumzo ya kitaifa. Kilichowashangaza wengi ni uwepo wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Mwinyi, katika kikao hiki. Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika...
Nadhani hii kauli ilikuwa na kaukweli Kwa mbali ila wahusika walitafutiwa TU timing.
Pia soma
Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia
Salaam Shalom!!
Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo.
Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi.
Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai...
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya.
✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini:
• Waziri wa Ulinzi Adan Duale
• Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.