Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika na issue zote za Mambo ya HR.
Sasa katik Kazi kuna mengi kampuni X inamshutumu jamaa ameisababishia...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo
Amekua akifanya...
Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili...
Kuweka kumbukumbu sawa, Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania niliyesoma katika shule za Serikali kuanzia elimu ya msingi, sekondari mpaka chuo, hivyo mawazo nitakayotoa hapa yasiyafsirike kupinga shule za Serikali.
Kwa muda mrefu nimekua nikiwaza namna ya...
Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao
Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI
Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili.
Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
Habarini Wana JF,
Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU.
Mtaji laki tano
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu.
Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku).
Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.
Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi.
Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
Habari mdau.
Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka sasa, je umegundua nini?
Mimi nmegundua yafuatayo
1. Life la chuo ni kuvaa vizuri kuhudhuria events...
Salaam
Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston.
Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe
Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi
Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
Wasalaam!
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration.
Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education.
Kwa sasa nipo free, nimepata...
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.
Na kila Serikali inapochukua...
Wasalaaaam
Ndugu, jamaa na marafiki
Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea
Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow
Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.